Inasemekana kwamba kisiwa cha changuu zanzibar kina kobe wengi halafu wana miaka mingi sana.hiyo picha unayo iyona hapo ni msanii wa zanzibar mkubwa tu anaitwa (Rico single)
alitembelea kisiwa hicho na hapo akiwa anamlisha kobe chakula aina ya kabich imelezwa kwamba huyo kobe anae pewa hilo jani ana miaka 85 hapo alipo lakini kuna kobe hadi wenye
miaka 300 hapo kisiwani. wadau mnakaribishwa kwenda kujionea.
No comments:
Post a Comment