Mwana dada huyu inasemekana ndie mwana dada mwenye mvuto wa
kimapenzi kuliko wanawake wengi wa mjini. mimi sijuwi lolote kuhusu
hilo lakini wewe mdau unakaribishwa kutowa comment zako kuhusu hili. ok
ni hayo tuu.
MAMBO VIPI WADAU? KARIBUNI SANA NDANI YA BLOG YA UKWELI YA MAHABARI YA WASANII NA MATUKIO YAO ZANZIBAR TANZANIA.MTAWEZA KUFAHAMU HABARI NYINGI ZA WASANII KUTOKA ZANZIBAR TANZANIA NAPIA MNAKARIBISHWA KUTOWA MAONI YENU KUPITIA BLOG HII AHSANTENI SANA KARIBUNI WADAU WOTE.
No comments:
Post a Comment